Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
Location: KIMARA MWISHO
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700, Boda 1000
PRICE: 300,000 × 5/6
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️KITCHEN WITH CABINET
✔️PUBLIC TOILET NDANI
✔️IPO NDANI YA FENCE
✔️PARKING SPACE 🚘
✔️UWANJANI PAVING BLOCKS
✔️UMEME LUKU YAKO
✔️MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US;
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp