Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000 ร 6) ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ฆ๐จ๐๐
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= ร 6 IPO KIMARA SUKA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 400,000/= ร 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300