Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent
Ipo Jirani Na Barabara
Location: KIMARA TEMBONI
Upande Wa Kulia Kama Unaenda Mbezi
Distance: 5 Minutes By Foot From Morogoro Road
PRICE: 500,000 × 5/6
✍️Sebule Kubwa
✍️Dinning Room
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Full A/c Sebuleni Na Master Bedroom
✍️Umeme Na Maji Independent
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANKS
✍️Fenced &Parking Available 🚘
✍️Good Environment 💥
Caution Money ⚠️ 1 Month
Anatakiwa Mpangaji Asie Na FAMILIA Kubwa
Au MR & MRS Na Mfanyakazi
Itakuwa Wazi 22/11/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















