Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW Apartments Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA MWISHO
Distance: Dakika 15 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
Usafiri 24Hours Boda 1000
Price: 300,000
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Vyumba VIWILI Vikubwa
✔️Chumba Kimoja Master
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Public Toilet Nzuri 🚻
✔️LUKU & Water Independent
✔️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Ipo Kwenye Fence
✔️Parking Space Kubwa 🚘
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More information
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp