Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ APARTMENT NZURI YA VYUMBA 2 INAPANGISHWA โ KIMARA STOP OVER
๐ Mahali: Kimara stop over
๐ Umbali: km1 kutoka stand ya mwendo kasi usafili bodaboda 1000 kwa mguu dakika 10_15 tu.
#SIFA ZA NYUMBA
๐น Vyumba viwili (kimoja Master)
๐น Sebule
๐น Jiko
๐น Public toilet ndani
๐น Umeme & maji (inajitegemea)
๐น Tanki la kuhifadhi maji (Reserve tank)
๐น Maji safi yanapatikana ndani muda wote (24/7)
๐น Fenced car parking kubwa na salama
๐Hii apartment naifaulisha ipo wazi inatakiwa 300k kodi kuazia miezi 3 nakuendelea
GHARAMA
๐ธ Kodi: Tsh 300,000/= ร 3 (miezi mitatu)
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347



















