Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






APARTMENT INAPANGISHWA IPO #KIMARA_STOP_OVER UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
SIFA ZAKE -
Vyumba viwili vya kulala vyote master bedrooms
Sebule kubwa
Jiko zuri
Public toilet nje
Tails ,gypsum, Madirisha Aluminium
Inajitegemea umeme na maji Dawasa yanaflow chooni jikoni.
Ndani ya fensi Peving block & parking space.
#Kodi ni laki 300,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 20,000 /=
NB
NYUMBA HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30 /10/2025 RUKSA KUONA NA KULIPIA.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747