Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(600,000X6)KIMARA BARUTI DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT FOR RENT
➖➖➖➖➖➖➖
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 10 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 600,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2VIWILI KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INA STORE KUBWA KABISA NJE
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
ZIPO TATU COMPOUND MOJA
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453