Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI BODA ELFU 1000 MPKA NYUMBAN
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
INAPIGWA RANGI NDAN NA NJE NDG MTEJA WANGU
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0
LUKU WAWILI NA PANA SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDAN
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670
0788296797