Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000 Γ 6) πππ ππ₯π ππ¨πππ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= Γ 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/08/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO NA KUIONA NDANI NI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA SANA
BEI NI 500,000/= Γ 6
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300