Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ✨️
Zipo 2 Tu Kwenye Fence
KODI 350,000 × 6
Location: KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA SHUKIA KIMARA SUKA
UMBALI DAKIKA 7 KWA MGUU 🚶🚶
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VYA KULALA
✔️CHUMBA KIMOJA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️PUBLIC TOILET NZURI 🚻
✔️UMEME LUKU YAKO
✔️MAJI METER YAKO & RESERVE TANK
✔️YANAFLOW NDANI 24HRS
NDUGU MTEJA WAHI CHAPU NYUMBA ZA BARABARANI HAZIKAI HIZI
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp