Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KUPANGA
Mahali: KIMARA SUKA
Umbali wa Dakika 8 Kutembea kwa Mguu kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Public Toilet nzuri ndani
• Heater ya MAJI
• Reserve Tank (DAWASA)
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa
Kodi: 500,000 Malipo Miezi 6
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347



















