Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT Classic For Rent ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
ITAKUWA WAZI 30/09/2025
Location: KIMARA KOROGWE
#KODI 400,000 × 6
#UMBALI DAKIKA 6-8 KWA MIGUU
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA
✔️VYOTE NI MASTER
✔️JIKO LAKE KUBWA
✔️PUBLIC YA NJE 🚻
✔️INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
✔️YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️PARKING KUBWA SANA 🚘
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
KUONA NA KULIPIA RUKSA BOSS 💰 ✍️
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 20,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KARIB