Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya vyumba viwilli (400,000) #KIMARA_MWISHO
APARTMENT KALI NZURI SANA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
KODI 400,000 × 6
UMBALI KM 1 AU DAKIKA 15 KWA MGUU AU BODABODA 1000
NDUGU MTEJA NYUMBA HII INA PESA YA TAHADHARI YA MWEZI MMOJA (CAUTION MONEY 💰)
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PAVING BLOCKS
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300