Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 13 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BODA BUKU
BEI NI 600,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING YA NGUVU
NOTE
ITAKAMILIKA TAREHE 01/06
KUONA NA MALIPO NI RUKSA
MAFUNDI WAKO MZIGONI CHAP
0713320608
0686334182