Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
----------------------------
HAPA KUNA APARTMENT MOJA INAPANGISHWA ITAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 01 /01/2025
RUKSA KUONA NA KULIPIA MALIPO MIEZI SITA SI CHINI YA HAPO.
---------------------
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA MASTER
PUBLIC TOILET
SEBULE
JIKO
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
ELECTRONIC FENCE
PARKING SPACE KUBWA
KODI NI LAKI 450,000/=KWA MWEZI.
---------------------
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000/=
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ