Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(450,000X6) AU (400,000X12)KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA JUU IPO WAZI WAHI MTEJA #BEI 450X6 AU 400X12
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA SANA
#MAFENI KOTE
#ICE CHUMBANI
#HITER MAJI MOTO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA AU 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024