Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ✨️
Zipo 3 Kwenye Fence
Location: KIMARA MWISHO
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI BAJAJI ZIPO SH 1000
UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 1 UPO NDANI
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Dinning Room
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Inside 🚻
Inajitegemea Umeme Na Maji
Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
Reserve TANK
PRICE: 250,000 × 5/6
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp