Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA Tsh 200k
SIFA ZAKE;
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA ..KIMOJA MASTER
SEBULEE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC
๐ฐBEI;LAKI 2 X MIEZI 6
SERVICE CHARGE ELFU 15
๐ฃLOCATION;KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA BARABARAN KM 2โฆUSAFIRI BAJAJI 100