Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA TEMBONI
Mwisho Wa Bajaji AU Unaweza Ukapitia KIMARA MWISHO Na Kufika Mpaka Kwenye Nyumba
Njia Zote Zina Usafiri 24Hours Bajaji Na Boda
PRICE: 250,000 × 6
✔️Sebule Kubwa
✔️Vyumba VIWILI Vikubwa
✔️Kitchen With Cabinets
✔️Public Toilet Inside 🚻
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANKS
✔️Ipo Kwenye Fence &Parking Kubwa 🚘
✔️Good Environment 💥
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp