Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA 
LOCATION KIMARA TEMBONI 
KODI 250,000X6
UMBALI KMB 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
SIFA ZAKE 
#####'##
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER 
NA JIKO NZURI LA KISASA LINA MAKABATI
TOILET PUBLIC YA NDANI 
NDANI YA FENC ZIPO NNE KILA MOJA INAJITEGEMEA  UMEME NA MAJI  NA MOJA NDIO IKO WAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
CONTAC




















