Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(500,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜 𝗗𝗔𝗞𝗜𝗞𝗔 5 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗨𝗢𝗡𝗜
𝗛𝗔𝗧𝗔 𝗨𝗪𝗘 𝗡𝗔 𝗚𝗔𝗥𝗜 𝗟𝗔 𝗖𝗛𝗜𝗡𝗜 𝗞𝗜𝗔𝗦𝗜 𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗙𝗜𝗞𝗔
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= × 6
💥ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/12/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI WANGU ANAYEHAMA ATAKUWEPO NDUGU MTEJA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300