Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#LOCATION: KIMARA MWISHO
KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI BAJAJ 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN BRBR SAFI
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW YANAFLOW NDANI
SERVICHAJ ELFU 15
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747