Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE – KARIBU NA BARABARA KUU
📍 Kimara Korogwe
🕗 Hii hapa kwa wale wavivu wa kutembea mmefikiwa sasa. Umbali wa kutoka standi ya mwendo kasi dakika 3 kwa mguu, haitaji bodaboda.
🏡 SIFA ZA NYUMBA
Vyumba viwili, kimoja Master
Sebule
Jiko
Public toilet ya ndani
Umeme & maji (inajitegemea)
Maji yanapatikana masaa 24/7.
Fenced car parking kubwa sana
👉 Nyumba iko wazi kwasasa
GHARAMA
Kodi Tsh 400,000 x miezi 6/=
Malipo ya dalali Tsh 400,000/=
Service charge Tsh 15,000/=
📞 #Piga_simu👇



















