Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA 350K
IPO KIMARA KOROGWE
KODI NI 350X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS ILA SIO YA KULAZA GARI INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
SERVICHAJ ELFU 15
SIMU 0659336751
WSP 0786085637