Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(500,000X6) KIMARA TEMBONI DK 6 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT 500K 💥  ITAKUWA WAZI KUINGIA KUANZIA TAREHE  01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA 
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6 
🌟APARTMENT HII INA SIFA KAMA IFATAVYO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE NZURI 
#JIKO ZURI LA KISASA 
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#CCTV CAMERA
#ELECTRIC FENCE
UKILIPIA KODI HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA 500K
💫💫 LOCATION:- NI KIMARA TEMBONI UPANDE KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU (FEW METER'S FROM  MAINE ROAD)  NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
📌ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 20 
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453



















