Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI SANA INAPANGISHWA
SIFA ZAKE
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA
SEBULEE
JIKO LINA MAKABATI
CHOO CHA PUBLIC
#HAKUNA MASTER
LOCATION:KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2..USAFIRI BAJAJI 500
BEI:LAKI 400K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
#0625606710