Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA KABIS A ZA KISASA ZINAPANGISHWA ( KIMARA MWISHO ) ZIPO ( 2 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI MOJA
HAPA KUNA APARTMENT MBILI TOFAUTI
GROUP ( A )
VYUMBA ( 2 ) VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE YA WASTANI JIKO NZUR LA KISASA PUBLIC TOILET YA NDANI
SLAIDING WINDOW TELIS GPYSUM
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KODI 300,000 X 6
GROUP ( B )
CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO LA KISASA PUBLIC TOILET YA NDANI
TELIS GPYSUM SLAIDING WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KODI 250,000 X 6
UMBALI WA KILOMETA (1, 5) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ 700/=
BODA 1000=
UKISHUKA DK 2 UMEFIKA
NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
.CONT
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI