Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(450,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
UMBALI WA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD.
SIFA ZAKE -
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms
Sebule kubwa
Jiko la kisasa kubwa
Public toilet za nje zipo.
Reserve Sim tank
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni mita inajitegemea
Umeme Luku inajitegemea
Ulinzi na Usafi gharama za mwenye nyumba
Full paving blocks
Parking space kubwa
-----
Kodi ni laki 450,000 /= Kwa mwezi × 6
Kuona nyumba elfu 20,000 /=
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300