Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam


#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA
Mahali : Madale Center( Karibu na lami l) ,
Dar-Es-Salaam, Tanzania🇹🇿
Ina :
🔸️ Vyumba Viwili Vya Kulala ( kimoja Masta)
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Choo cha Public
🔸️ Parking Space
Inajitegemea kwenye Umeme
📌Dakika 2 Kwa Mguu Kutoka Lami.
📌Airbnb Inaruhusiwa.
Bei : 700,000 Tsh Kwa Mwezi
MALIPO YA MIEZI SITA
NIONE DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
#0718 759287
#0685 006223
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA