Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Magomeni, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT 
Loc: Magomeni 
Price:700,000 per month 
Term:six month 
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Vyumba 2 vya kulala kimoja master sebule jiko full tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme unajitegemea maji 
Fanya kazi na Dalali smart,kazi zimenyoka 
For more info:
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈




















