Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Majengo, Dodoma


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM
MAHALI _  SALASALA MAJENGO
______________________
 
#VYUMBA VIWILI MASTA VYOTE _SEBULE_ JIKO_CHOO#
KODI  TSHS LAKI  400,000/= KWA MWEZI
——
MALIPO YA MIEZI 6
________________
NEW APART  APARTMENT 
_____________
YA KIFAMILI 
_______
YENYE:-
vyumba viwiri masta vyote  # vikubwa Na  Sebule 
#na # Jiko renye makabati
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
————



















