Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT 
Loc: Makumbusho 
Price:700,000 per month
Term:six month 
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya service charge inatolewa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja 
Classification:
Vyumba 2 vya kulala vyote master sebule jiko tiles gypsum board madirisha ya kioo ndani ya fensi umeme unajitegemea maji nyumba nzuri ya kisasa 
Fanya Kazi na Dalali smart, kazi zimenyoka 
For more info:
Call:0718123756👈
Call:0688037829👈




















