Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
ZINAPANGISHWA
KAMARA TEMBONI
💥KODI YAKE 300K X 6
🏘️ SIFA ZA NYUMBA::->👇
🔸VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
🔸SEBULE SAFI
🔸JIKO SAFI
🔸PUBLIC TOILET
🔸TILES
🔸GIPSUM
🔸SLIDE WINDOWS
🔸LUKU NA METER YA MAJI SAFI DAWASA INAJITEGEMEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
BAJAJI TSH 700/=
PIKI PIKI TSH 1000/=
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347