Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI SANA
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI 
💥KODI YAKE 300K  X 6
🏘️ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 👇👇
🔸VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA HAPO VYOTE NI MASTER BEDROOM'S 
🔸SEBULE SAFI
🔸JIKO SAFI 
🔸METER  YA UMEME NA MAJI SAFI DAWASA INAJITEGEMEA 
🔸PARKING KUBWA USALAMA WA KUTOSHA. 
💥INAYOPANGISHWA NI YA  JUU NDUGU MTEJA, NA HAPO WAPANGAJI NI WAWILI TU..
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI 
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA 
NI KM1.7
BAJAJI TSH700/=
PIKI PIKI TSH 1,000/=
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















