Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


250,000 x6
ββ
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#APARTMENT YA JUU GOROFANI NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
π₯ NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0679 956 863
0759151524