Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA KALI SANA ZINAPANGISHWA NA ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 15/10 /2025
💥APARTMENT HIZI ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTU
Sehemu 'A :-
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 450,000/= X 6
Sehemu 'B :-
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
💫💫APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
Service charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.