Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA 
NYUMBA MPYA
LOCATION:
MBEZI YA MAGARI SABA/ CHUO CHA ST JOSEPH 
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 TU KWA MIGUU[ GARI YEYOTE INAFIKA  MPAKA MLANGONI]
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA 
KIMOJA MASTER 
SEBULE 
PUBLIC TOILET NDANI 
JIKO ZURI 
ICEE [ AIR CONDITION]
PACKING SPACE 
UWANJANI PAVING BLOCK 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI 
KODI 350,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#




















