Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= Γ 3
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET NDANI
#MAJI YANAFLOW NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA
#PARKING
BEI NI 250,000/= Γ 3
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND YA MKOA MAGUFULI BUS TERMINAL
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 TU USAFIRI BODABODA 1000 MPAKA GETINI
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000 NA MALIPO YA DALALI NI KODI YA MWEZI MMOJA