Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(300,000 ร 5,6) ๐ ๐๐๐ญ๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐ฆ๐จ๐๐จ๐ฅ๐
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= ร 6
๐APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
Vyumba Viwili vya kulala
Sebule kubwa
Jiko zuri
Public toilet
Haina master
UMEME NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
PARKING KUBWA
FULL SECURITY
BEI NI 300 000/= ร 5,6
๐ซ๐ซAPARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.6
Bajaji 700
Bodaboda 1000 mpaka mlangoni
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300