Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION MBEZI KWA MSUGURI UMBALI
KM 1. BARABARA MKEKA MPAKA KWENYE NYUMBA
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 450,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1 barabara safi
PARKING KUBWA SANA YA KUTOSHA
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167