Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach( Karibu na Shoppers Plaza) , Dar-Es-Salaam, Tanzania
Ina :
🔸️ Vyumba Viwili Vya Kulala ( Kimoja Masta)
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Choo cha Public
🔸️ Parking Space
Ziko 3 Kwenye Fensi,
Bei : 500,000 Tsh Kwa Mwezi
Contact
0625584914