Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 4 TU NDANI YA FENSI
LOCATION:
MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KWA HAKIMU
DAKIKA 1 LAMI
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA
KIMOJA NI MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE
UWANJANI PAVING BLOCK
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
CCTV camera ๐ธ
Electric โก fance
KODI 500,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA