Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







180,000 x6. 0759151524
APARTMENT NZURI SANA NA BEI MSELELEKO KABISA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= X 6
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UKARABATI
πAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#SEHEMU YA JIKO
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA HII NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 180,000/= X 6
π«π«APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437