Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA 10/11/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
✍️SEBULE KUBWA
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Garden Nzuri
✍️Parking Space Available 🚘
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANK
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA,, NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
📌📌NJIA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI ZA KUFIKA KWENYE NYUMBA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI
NJIA NIRAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp