Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: MBEZI KIBANDA CHA MKAA
Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Main Road, Barabara ni Nzuri Bajaj 500 Zinakushusha Getini, Boda 1000
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI vya Kulala Kimoja wapo Master
โข Jiko Kubwa Sana
โข Choo Kizuri Ndani Cha Familia
Apartment zipo 3 Ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 350,000 Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp