Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI MAGUFURI #350000K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom Sebule kubwa Jiko kubwa lenye makabati na choo public ndani
Kodi 350000 kwa mwezi × 6
ZIPO NYUMBA 4 KWENYE FENSI MOJA IPO WAZI NYUMBA MOJA
Fenced na parking ya ukweli
Inajitegemea umeme na maji
Umbali MITA 500 KUTOKA MAGUFURI
BODA BODA 1000
KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 10
Kupelekwa kuona nyumba elf 15
PIGA SIMU
0789352273
0716171830