Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
APARTMENTS INAPANGISHWA
MAHALI- : Mbezi Beach(Almas Street), Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿
Ina :
🟢 Vyumba Viwili Vya Kulala(Vyote Masta),
Sebule , Dining , Jiko , Choo Cha Public
🟢 Inajitegemea Kwenye Umeme na Maji
Ina Ac ,Heater
NYUMBA NI #MPYA
KODI : 1,000,000 Tshs Kwa Mwezi
Furniture zinatolewa
Kwa Mawasiliano Zaidi:-
#0718 759287
#0685 006223
DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
PIA VIWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA


















