Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT ZINAPANGISHWA ZIPO NYUMBA 5 TU KWENYE COMPAUND MOJA MPYA KABISA SOMA MAELEZO KWA MAKINI
(A)#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA NYUMBA HIZI KUINGIA NI TAREHE 01/06/2025
#KILA APARTMENT INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA. MITER YA MAJI YA DAWASA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION MBEZI LUGURUNI KLM 1.8 KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#(B) MASTER NA JIKO LAKE KUBWA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO LAKE
#BEI 100,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#LUKU INAJITEGEMEA NA MITER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#(C) #SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#DAINING
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#BEI NI 200,000
#(D) SEBULE WASTANI
MASTER
JIKO
#LUKU INAJITEGEMEA NA MITER YA MAJI DAWASA
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
#LOCATION MBEZI LUGURUNI KLM 1.8 USAFIRI BODA BUKU TU MPAKA GETINI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE
0715949085
0782838336