Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA 
INAPANGISHWA
LOCATION: >>>
MBEZI LUGURUNI 
KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA YA UBUNGO UMBALI WA  KM1 KUTOKA MOROGORO ROAD .
VYUMBA 2 VYA KULALA 
VYOTE NI  MASTER BEDROOM'S 
SEBULE KUBWA SANA 
DINNING ROOM 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STORE 
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW DAWASA 
LUKU YAKO
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI 
TILES,GYPSUM 
GARDEN SAFI 
PAVING BLOCK SAFI
MAZINGILA MAZURI MNOO
ELECTRONIC FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI YAKE 500,000/=×4
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363




















