Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 250,000

(250,000X5) MBEZI MWISHO MPIJI MAGOHE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA BEI MSELELEKO

KODI NI 250,000X5X6👈

INA PANGISH MBEZI NJIA YA MPGI MAGOHE KITUO KWAWA SEGA

SIFA ZA NYUMBA

INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
CHOO CHA FAMILY CHA NDANI
JIKO KUBWA LA KISASA LA MAKABATI
SEBULE KUBWA SANA
FULL ICE VYUMBANI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT MBILI TU

NA HII MOJA NDO IPO WAZI

INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
YANA FLOW NDANI

UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2👈

USAFILI BAJAJI 700 AU DALADALA 500

UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15000👈

NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA

BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI

PIGA CM CHAPU UPATE KITU POA KABISA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US
0716223412
0683597453
⬇️

dalali_kimara_kimara_kibamba🔵
dalali_kimara_ubungo_kibamba
dalali_kimara_kimara_kibamba🔵

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KODI 600,000X6 LOCATION: MBEZI MSUGULIDAKIKA 3 KWA MGUU TOKA LAMIIN...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

NYUMBA INAUZWA KWA MNADA WA BENKILOC:MBEZI MSHIKAMANO KONTENAUMILIKI:TITLE DEED(HATI MILIKI)UKUBWA:...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ------Chumba Master Seble...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

APARTMENT FOR RENT MBEZI BEACH PRICE TSH LAKI 700000 LAKI SABALOCATION MBEZI BEACH JOGOO 2 bedroom h...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

(150,000X6)MBEZI KWA MSUGULI 2KM BAJAJI 1000➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 150...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

(150,000 × 6) #MPYAA #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAANEW NEW APARTMENTS FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAAAUM...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

0679 997610 (150,000 × 6) #MPYAA #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAANEW NEW APARTMENTS FOR RENT AT MBEZI KIBANDA...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

NEW APARTMENT FOR RENTLocation: MBEZI KIBANDA CHA MKAAADistance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD Usafiri...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

(350,000X6)MBEZI KWA MSUGULI#VYUMBA_4 VYA_KULALA#INAPANGISHWA#STAND_ALONE IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

(150,000 × 6) #MPYAA #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAANEW NEW APARTMENTS FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAAAUM...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA——NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000 × 6) #MBEZI_KWA_MSUGURIAPARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= × 6 🌟APARTM...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 420,000,000

HOUSE FOR SALE RENT TSH. 420 MILIONLocation Mbezi beach Whith title deed Price: tsh 420 milion4 bedr...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Apartment House for rent 2roomsPrice 1,000,000Kwamwezi Malipo miezi 6Location Mbezi beachUpande wach...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment_Classic_For_Rent ✨️KODI 300,000 × 6 Location: MBEZI KWA MSUGURI Upande Wa Kushoto Kama U...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X6)MBEZI KWA MSUGULI ——APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟APARTME...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

(350,000X3)MBEZI KWA MSUGULI ——#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA #BEI NI 350,000/= X 3 BILA KU...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUM...